Hii Ndio Sababu ya TID Kuibukia Nchini Burundi..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


TID amefunguka sababu ya kufanya ziara yake nchini Burundi.

Hivi karibuni zimeweza kusambaa picha kadhaa mitandaoni zikimuonyesha muimbaji huyo akiwa nchini humo akifanya show na nyingine zikimuonyesha akiwa na Christian Bella.

Akiongea katika kipindi cha Dj Show cha Radio One, TID amesema, “Kikubwa zaidi iikuwa ni kuja kufanya TV and Radio promotion tour. Nimekwenda radio kadhaa na TV kadhaa, hii ilikuwa kutambulisha wimbo wangu mpya ‘Woman’ na ile niliyomshirikisha Tofy ni msanii wa huku lakini anaisghi South Africa. Nikaenda mkoa unaitwa Rumonge ni kama masaa mawili kwa kuenbdesha ukitoka Bujumburanikaimba hapo na concert ilijaza sana. Na siku inayofuata nikaenda Nagara kufanya concert nayo ilijaza tena vile vile.

“Experince ambayo nimeipata kutokana na tour hii, nimegundua love ipo kubwa sana kutoka kwa mashabiki kwa ujumla wa TID, mashabiki wa Bongo Flava watu wanathamini sana Bongo Flava especially waasisi au wakongwe,” ameongeza.

Msanii huyo ameongeza kuwa tayari amepata dili la kurudi tena kutumbuiza nchini humo baada ya mwezi wa mtukufu wa Ramadhan.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad