Kimenuka Act Wazalendoo..Baada ya Mgwhira Kuondolewa Uenyekiti Wake Juzi..Aibuka na Kutoa Povu Hili Zito kwa Kina Ziti na Wenzake Waliomtosa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu Mpya wa Mkoa wa Kilimanjaro Mh.Anna Mgwira amepinga kuondolewa uenyekiti wa ACT Wazalendo na kusema kuwa utaratibu haujazingatiwa. Mama Anna amesema bado anao uwezo wa kutumikia wana Kilimanjaro na chama chake pia.

Kiongozi Mkuu wa ACT alitangaza kuvuliwa uenyekiti kwa Anna Mgwira na nafasi hiyo kukaimishwa kwa mtu mwingine.

Ikumbukwe kwamba jana Mh.Mkuu wa Mkoa alifanya kikao na kamati kuu ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jambo linalompa wakati mkuu katika kutumikia mabwana wawili

Chanzo: Nipashe
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad