Morata Kutua Old Trafford Kesho Jumatatu kwa Ajili ya Kupimwa Afya..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Manchester United imekubali kulipa ada ya uhamisho wa pauni 64milioni  kwa ajili ya Alvaro Morata.

Morata atawasili England kwa ajili ya vipimo Jumatatu kwa mujibu wa magazeti ya Hispania. 

Mshambuliaji huyo wa Real Madrid uhamisho wake kwenda Old Trafford umechochewa na kukwama kwa usajili wa Antoine Griezmann kufuatia Fifa kuifungia Atletico Madrid kusajili.

Uhamisho huo umekuwa rahisi baada ya Man United kuthibisha kuachana na Zlatan Ibrahimovic msimu huu.

Morata alianza maisha yake ya soka la kulipwa akiwa chini ya kocha wa sasa Man United, Jose Mourinho, alipokuwa kifundisha Real Madrid mwezi Desemba 2010 alipocheza dhidi ya Real Zaragoza.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad