Mwalimu afumwa akifanya mapenzi na mwanafuzi wake darasani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe, Mkoani Njombe, Ally Kasinge ameagiza kushikiliwa kwa Makamu Mkuu wa shule ya sekondari Wanike, iliyopo katika wilaya hiyo baada ya kukamatwa akifanya mapenzi na mwanafunzi wake darasani usiku.

Kasinge ametoa agizo hilo baada ya kuwepo taarifa ya kuwepo kwa watu wanaotaka kumsaidia mwalimu huyo kuvuruga ushahidi kwa kupanga na wanafunzi wenye ushahidi huo kuongea tofauti na tukio.

"Kuanzia wanafunzi walitimuliwa wahojiwe na polisi na wale wanafunzi wengine waliotajwa pia wahojiwe na polisi na mwalimu mwenyewe pia aendelee kushikiliwam huyo ambaye anatuhumiwa aendelee kushiliwa na polisi mpaka tupate majibu, kwa sababu akibaki nje ataendelea kutengeneza mazingira ya kutengeneza mtandao wa kutaka kumsaidia na kupotosha ushaidi" alisema Mkuu wa Wilaya Ally Kasinge

Mbali na hilo shule ya sekondari ya Wanging'ombe pamoja na Wanike zimepandishwa hadhi na sasa zitapokea wanafunzi wa kidato cha tano, walimu wa shule hizo wameweka wazi kuwa shule hizo zinachangamoto ya walimu wa sayansi ambao ni wachache ukilinganisha na walimu wa masomo ya sanaa.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwalimu ni mlezi. Unamlaumu mwanafunzi. hii nyinyi wanaume mtaitetea kwa vipi. Mfumo dume. Mnaitwist ukweli. Lini wanaume mtakuwa wakweli na kuwa responsble. Na ndo nyinyi mnamsapoti Raisi. Ni kwa kukosa kujiheshimu kwenu na kuweka hisia za sex mbele bila mafinzo. Hamjafunzwa kuwa profeshional. Ni kwa sababu ya mapungufu yenu mnaadhibu watoto. Ni wabakaji. Ukifanya sex na mwanafunzi we ni mbakaji. Jela.Inabidi ulazimishwe kumtunza mtoto na ukatwe kila mwezi mpaka mtoto afikie miaka 18. Ni huyu mwalimu alimwita mwanafunzi abaki. intimidation inaitwa.Chooa hiyo mkwaju wa huyu mwalimu. Kisha kazi.Wanaume wasingewalala watoto kamwe.

    ReplyDelete

Top Post Ad