Nasubutu Kusema Rais JPM Yupo Sahihi Kabisa Kwa Hili la Mimba Mashuleni....Sababu Hizi Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Rais yupo sahihi katika sense hizi

Ukiruhusu shule watoto wazae utakuwa umeruhusu indirectly
1) ngono iliyokithiri kwa watoto wadogo from primary school...

2) Umeruhusu floodgate ya mimba za utotoni huku serikali inazipinga kila siku kwamba watu hawa wanauliwa ndoto zao kwa sababu wanakuwa na majukum ya kulea hivyo wanashindwa;
i) kuendelea na shule wenyewe hata kabla hawajalazimishwa kuacha shule.
ii) ku-enjoy maisha kama watoto bali wanakuwa wazazi prematurely hivyo stress na lack of esteem and confidence mbele ya wenzao kwa sababu hili swala siyo la kawaida bali linakuja bila kupangwa kupitia ngono ambayo wawili hao ndo lilikuwa kusudi lao, siyo mtoto.
iii) una - vitiate "vita" ya women emancipation

3) Taifa lenye vijana wa kike tegemezi kutokana na kwamba mtoto kama sheria inavyomtambua mwenye umri wa miaka 17 downwards anakuwa na mtoto na hivyo anakuwa na majukumu mazito ya kizazi *(mtoto ana mtoto: can you imagine!!)*

Sheria y a Elimu, the Education Act as amended prohibits marrying a school girl or impregnating her.

So, wakipigwa mimba hawa wanakimbiwa hivyo wanakuwa tegemezi kwa wazazi wao kama wazazi na wao, siyo watoto tena. Mzazi anachokifanya ni kumfukuza nyumbani.

4) Venereal diseases: serikali inapambana na maradhi kila siku halafu mnaruhusu watoto indirectly wafanye ngono. Na kwa hiyo mtakuwa mmeruhusu
i) ngono zembe indirectly(unsafe sex) kwa sababu hana sababu nyingi ikiwemo ya shule zitakazomsukuma kuvaa kinga.

ii) Ukimwi. Hii ni kwa sababu unaruhusu ngonozembe.

Etc.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwel mkuu wa nchi yuko sahihi kabisa kwani watoto wanaenda shule kusoma na sio kufanya ngono tena ngono zembe....,na ndo maana kuna watu wslifukuzwa shule sababu ya kuvuta bangi n.k kwasababu sicho kilicho wapeleka shule

    ReplyDelete
  2. Rais hayuko sahihi kabisa. Na huyo bi Salma aone aibu kabisa kwa mtu aliekuwa first lady wa nchi na mwanamke Na mzazi pia kwa ku suggest kit kama hiki. Rais wangu mpendwa uangalie sana hawa wabunge wako wengine wanakuchimbia kisimia. Umesema serikali yako inawatetea maskini kwa kupitisha hii otakao wakandamiza ni hao maskini.

    ReplyDelete

Top Post Ad