EXCLUSIVE: Wakili Aeleza Sheria Kuhusu Kufukuliwa Kaburi la Ivan (+Video)

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

June 2, 2017 Mahakama Kuu Uganda iliomba kufukuliwa Kaburi la aliyekuwa Mfanyabiashara maarufu Uganda Ivan Ssemwanga na kutolewa fedha zilizotupwa hatua iliyokuja baada ya Bank Kuu kutoa tamko kuvitaka Vyombo vya Dola kuwachukulia hatua waliotupa fedha hizo…sheria inasemaje?

Kufuatia ombi hilo la Mahakama ya Uganda leo June 3, 2017 Ayo TV na millardayo.com zimetaka kujua jambo hilo kisheria likoje na zinaye kwenye EXCLUSIVE Wakili wa kujitegemea na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu Tanzania Jebra Kambole ambaye anafafanua zaidi…

“Nilichokiona kwenye shauri ambalo limefunguliwa Uganda ni maombi ambayo yamefikishwa Mahakamani na Mahakama ndiyo ina jukumu la kuyatafsiri yale maombi. Kwa hiyo siyo amri ya Mahakama moja kwa moja.

“Ni maombi ambayo yamepelekwa chini ya kifungu namba 42, kifungu pia cha 17, kifungu kidogo cha kwanza (a) na (i) ya Katiba ya Uganda ya mwaka 1965, lakini pia kifungu cha 50 cha Katiba ya Uganda.

“Kimsingi, vifungu hivyo ambavyo nimevitaja hapo awali vya Katiba ya Uganda ni vifungu ambavyo moja kwa moja vinatoa wajibu kwa kila raia kuheshimu alama za Taifa ikiwemo pamoja na pesa ya nchi.” – Jebra Kambole.

Kujua mengi zaidi kuhusu nini kifanyike kutokana na ombi la Mahakama kuhusu kufukuliwa Kaburi la Ivan Don pamoja na matakwa ya Sheria, nimekuwekea VIDEO hapa ambayo unaweza kuplay na kutazama ukajiua zaidi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad