Picha za Beckham Akiwa Mbugani Zawatoa Mapovu Wasanii wa Bongo..Lulu Amvaa Kichwakichwa Bila Kujielewa..!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


David Beckham anaonekana kuwachanganya baadhi ya watu kwa kitendo chake cha kupost picha mitandaoni bila kutaja kama yupo katika moja ya mbuga hapa nchini Tanzania.

Beckham alitua nchini kimya kimya wikiendi iliyopita majira ya usiku akiwa ameongozana na familia yake na kuelekea mahali pasipo julikana huku baadhi ya wadau wakidai alikuwa ameelekea mbuga ya wanyama ya Ngorongoro.

Kitendo hiko kimewafanya watu kumshambulia kwenye kila picha aliyopost mchezaji huyo wa zamani wa Uingereza.

Hata baadhi ya mastaa wa Bongo wameonekana kushangazwa na kitendo hicho huku wengine wakitoa yao ya moyoni kupitia mtandao wa Twitter, kati yao ni Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Mwasiti. “Mbona hatoi Taarifa kwa wenye nchi Yetu🤣🤣🤣🤣atajuta nipe username yake kwanza 🤣🤣🤣🤣hata simfologi,” ameandika Lulu.

Naye Mwasiti ameandika, “😂😂 huyu beckham huyu..sasa sisi ni mwendo wa kuweka bendera yetu 🇹🇿🇹🇿 tu kwenye kila picha yake mbugani kagoma kusema alipo 😂😂@OfficialLizyM.”

Hata hivyo Fid Q amewachana watu wanaolalamikia tukio hilo, “Nimekuta watu wananung’unika juu ya suala zima la ujio wa DEVI mbugani kwetu eti kwasababu kila akipost hasemi kama yupo TZ..Mlimfadhili? 😀.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. stupid people he is not a showing off person kwani mlimchangia au mulimualika think before hamjasema kitu Fud Q kasema kweli mulimfadhili? au ukisema you will stop to follow him ndio utampunguzia nini idioting thinking

    ReplyDelete
  2. Wako sahihi.. sio idiots. Kwa David kusema aliko ni poromotion kubwa kwa Utalii Tanzania. Ingelipa kuliko delegation 3 za TTB katika maonyesho USA,German na UK. Wee anonny at 7.22 ndio hufikirii what it neans yee kusema alipo.

    ReplyDelete
  3. Bora alivyokuja kimyakimya lakiniengetangaza au akasema mahala alipo.
    Engekoma hao nzi walamizoga wengemuamdama mpaka engeona kero. Mpaka hata safri yenyewe engeijutia
    Yote watu wanapiga kelele walitaka kwenda kuuza sura zao.
    Kwani kila wakiona ufukwe wa bahari wanajua mahala pakuogelea kumbe fukwe zengine zinafugwa mapapa upangabingiza ugoko uone kiama.

    ReplyDelete

Top Post Ad