Rammy Aopoa Kifaa Cha Gambia Baada ya AGNESS Masogange Kumtema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

STAA wa filamu Bongo, Rammy Gallis amenasa kifaa kipya kutoka nchini Gambia ambaye naye ni msanii wa filamu, Princess Shyngle na kusema kuwa mwanadada huyo ndiye anayemkonga nyoyo kwa sasa japo hapendi kumuuzisha sura.
Akipiga stori na Star Mix baada ya meseji za mapenzi akichati na mwanadada huyo kunaswa na paparazi wetu, msanii huyo alifunguka kuwa, yupo kwenye uhusiano na mlimbwende huyo kwa muda sasa na kwamba miongoni mwa vitu vilivyomvutia kwake ni pamoja na figa matata aliyonayo.


“Nilikutana na Princess nilipoenda kufanya filamu Nigeria, kwa kuwa yeye ni Mgambia lakini makazi yake makubwa ni Nigeria, nampenda sana naamini yeye ndiye tulizo la moyo wangu, mapenzi ya Kibongo yanitue kwa sasa,” alisema.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dogo usimtukane mamba kabla ya kuuvuka mto you have no any idea with whom are dealing with hao ni mapopo hapendwi mtu hapo atakupopochoa pesa zako zote za madafu na kukuacha chali dhoofu bin hali halafu huyo anakuingia mitini hao wanawezana wenyewe kwa wenyewe (moto kwa moto)siyo mipigo ya east africa na ile cleanheart wao hawana hiyo wao ni moni moni (moneylakini dogo maisha ni shule acha akupopochoe kwanza mwishoni utawarudia hao hao madada wa kibongo wenye utamu kuipita asali na sukari

    ReplyDelete

Top Post Ad