Sanchi Bila Mahari Ya Mil. 10 Siolewi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MWANAMITINDO na video queen mwenye umbo tata Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchi’ amefunguka kuwa thamani yake ni kubwa hivyo mwanaume anayetaka kumuoa lazima ajipange kwa mahari ya milioni 10 za Kitanzania.

Akizung-umza na Star Mix, Sanchi mwenye figa matata alisema kuwa, siku zote wanaume wanaowaoa wanawake kwa mahari ndogo huwachukulia hivyohivyo lakini akilipa mahari kubwa hata heshima inakuwepo na uthamini pia.

“Unajua mwanaume wa kweli unampima kwenye vitu vidogo kama hivyo, mimi mahari nataka iwe ya heshima kabisa na kama mtu hana milioni hiyo 10 basi hana sifa ya kuwa mkewe na kunimiliki,” alisema Sanchi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Very stupid and selfish woman in coming next 10 years utlia kilio cha mbweha mdomo juu kwisha fitina yako halafu hizo milioni uzitakazo wewe kwa kipi cha thamani ulichonacho primitive woman mtu hajikwezi bali mtu hukwezwa na watu tuonane tena miaka kumi ijayo

    ReplyDelete
  2. Mimi sijaona jipya naona kama unatangaza biashara flani hivi amabayo wenzio wanafanya mtaani ila wewe mwenye uwezo wa kulipia luninga na magazeti unatumia indirect way kutangaza.Haya mama tumeona

    ReplyDelete

Top Post Ad