Smart Move by JPM Kumtumbua Mohongo...Kuna Mtu Aliyeliona Hili?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Smart Move by JPM Kumtumbua Mohongo...Kuna Mtu Aliyeliona Hili?
Bunge liliazimia Prof Muhongo awajibishwe uhusika wake Escrow,kweli akapigwa chini uwaziri wa Nishati na madini!

JPM alipoingia madarakani,akamrudisha kwa mbwembwe prof Muhongo kwenye wizara ile ile aliyowajibishwa kwayo!Hapa alionesha umwamba ule wa "hamumtaki,ila sasa mimi ndio namteua tuone sasa"!

Sakata la Escrow lilikuwa la muda mrefu,naamini Rais alikuwa updated na Takurukuru juu ya uchunguzi wa jambo hilo!
Kabla la Escrow halijaibuka,likaibuka la makanikia na Rais akatumia mwanya huo kula kichwa cha Muhongo!A very smart move by JPM!

JPM aliona wazi kama Muhongo atakuja kuanguka kwenye sakata la Escrow,basi atakuwa kawapa watu cha kuongea!Imagine kama Leo Muhongo ndio angekuwa bado waziri halafu Ruge na Seith wamekamatwa na kufikishwa mahakamani na kisha keko,Media zote zingemuanika muhongo!Muhongo alituhumiwa kuwa dalali wa biashara haramu ya PAP\IPTL!

Naamini Muhongo kuwekwa kando kwenye makanikia ilikuwa ni kufagia njia kwenye sakata la Escrow!Ingekuwa aibu kwa JPM kama sakata la Escrow lingemkuta Muhongo ofisini!

By Waziri kivuli/Jamii Forum

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hiyo inaitwa"ONE STEP AHEAD"Big up mr.president����

    ReplyDelete

Top Post Ad