Uteuzi wa Mghwira Kuwa Mkuu wa Mkoa Wamtoa Povu Hashim Rungwe..Adai Rais Adipewe Madaraka ya Kuteua Teua Ovyo..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mgombea wa urais mwaka 2015, kupitia chama cha CHAUMA, wakili msomi Hashimu Rungwe amesema Rais Magufuli achague wote na kwamba achague na wabunge toka upinzani na sio kama njia inayofanywa sasa ya kuteua tu wapinzani walioandaliwa na vyama vyao.

Rais asipewe madaraka ya kuchagua kila mtu apendavyo yeye. Na katiba ya nchi inatakiwa kubadilishwa na kuwekwa sawa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad