Wakazi wa Pwani Waifurahia Huduma ya Ukarimu wa Vodacom

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakazi wa kanda ya Pwani wameipokea kwa furaha kubwa huduma mpya ya Ukarimu inayotolewa na Vodacom Tanzania wakati huu wa msimu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani inayolenga kutoa ushirika na utoaji.

Ukarimu huu wa Vodacom unakwenda sambamba na kuwapatia wateja kifurushi kinachowawezesha kupata Qaswida, Mawaidha, Hadith, Facebook yenye picha na kuzungumza usiku wanaposubiri daku BURE kabisa. Ili mteja aweze kunufaika na bando hili la Ukarimu anatakiwa kupiga *149*01# kisha kuchagua aina ya bando kulingana na uwezo wake wa kifedha. Lipo bando linalodumu kwa muda wa  saa 24 na linalodumu kwa siku saba.
Kwa kiasi cha shilingi 1000, mteja atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 10 kwenda mitandao yote, ujumbe mfupi wa maandishi wa maandhishi  bila kikomo, simu kupitia mtandao pamoja na ujumbe wa didi bure
Kwa mteja atakayenunua bando la shilingi 3000 atapata dakika 150 Vodacom kwenda Vodacom, dakika 30 kwenda mitandao mingine, ujumbe mfupi wa maandishi bila kikomo, simu za bure usiku Vodacom kwenda  pamoja na ujumbe mfupi wa maandishi wa dini bure kwa siku saba.

Siku ya leo Vodacom wanaendelea na futurisha katika maeneo yafuatayo:
Tanga
Nyako
Mtindiro Kwabeda
Korogwe mjini
Mtwara
Newala
Lindi
Kilwa somanga
Kilwa chumo
Ruangwa namungo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad