Breaking News: Mtangazaji wa Azam TV Apatikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtangazaji wa Azam Tv Fatna  Ramole aliyeripotiwa kutoweka tangu Juzi Alhamisi ameripotiwa na ndugu yake Lulu Remole.

Lulu amethibitisha kupitia Ukurasa wake wa Twitter na kuwashukuru waungwana walishirikiana kumtafuta Dada yake.

"Asante wote kwa ushirikiano wenu, Mungu mkubwa tumepata taarifa na tukaweza kumpata Fatna.Bila RT zenu nisingepigiwa na huyo Dada. Mbarikiwe" - Lulu

Lulu aliripoti na kuujuza umma kupitia mitandao ya kijamii kuwa Dada yake hajaonekana kwa muda wa saa 48.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad