RAIS Donald Trump Afuata Nyayo za JPM Tumbua Tumbua Viongozi Wazembe....!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Rais Donald Trump wa Marekani amemteua Waziri wa Mambo ya Ndani, John Kelly kuwa mkuu wa utumishi wa Serikali baada ya kumwachisha kazi Reince Priebus.

Priebus amefanya kazi kwenye Serikali hiyo kwa muda wa miezi sita tu.

Baada ya miezi kadhaa ya uvumi kuhusu hatima ya Priebus, Trump ametangaza uamuzi wake kwenye mtandao wa Twitter akiwasili mjini Washington.

Awali, Trump alitoa hotuba jijini New York ambayo aliitumia kummwagia sifa Kelly kwa kazi anayofanya katika wizara hiyo.

Amesema ,"Nina furaha kuwafahamisha nimemteua waziri John Kelly kuwa mkuu wa utumishi wa Serikali katika Ikulu."
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni mtu mmoja hayupo safi Kichwani. Raisi mzima kutweet usiku ujue hapati usingizi. Anatumbua sababu aliowateua pia ni Vilaza. Ni Aibu kwa Taifa la Marekani kuwa na mtu kichwa maji kama Trump. Lakini unaweza kumsema hadharani. Hutafungwa. Ni lazima akosolewe sababu hana mwelekeo safi, Hajui sheria za nchi, hajifahamu kuwa ni raisi, na kama Raisi awe mstaarabu, ajue namna ya kuzungumza na si kuwa kama mtu wa mitaani,. Halafu pia ni Buli, hajui mipaka. Amesema inabidi Africa itawaliwe na Wakoloni tena. Inaumia lakini kunaukweli ndani yake sababu kuna shida kubwa kwa Maraisi wetu wengi barani Africa . Na hawajitambui. Kuna matatizo ya kujitawala, Kujisukuma, kielimu, Kiutendaji, Kimaendeleo, Baada ya miaka mingi ya kuwa huru, bado tumeshindwa kabisa kujitegamea na bado tunawategemea wazungu ingawa tunautajiri mkubwa sana, lakini tunashindwa namna ya kuutumia utajiri wetu kwa faida ya Wananchi. Bado tunategemea misaada na kuomba misaada bila haya, tukitoa mali zetu hovyo kwa hao hao bila aibu. Kwa hivyo anavyosema Afrika itawaliwe tena anamaana tumeshindwa namna ya kujiongoza wenyewe bila kuwategemea wao. Inaaibisha sana.

    ReplyDelete
  2. Hapo ndipo utakapo jua MAGU No nani d
    DUNIANI...NI MWALIMU NA MTU WA WATU... HONGERA JPM HA NARENDDRA MODI PIA KAINGUA KAZINI HUKO KWAO KAMA ALIVYO SEMA ALIPPKUJA KATIKA ZIARA YAKE HAPA KAZI TU. HAPESA KABADILISHA. KAZA BUTI JPJM.. MPAKA KIJULUKANE.

    ReplyDelete

Top Post Ad