Ruby Ndani ya Komaa Concert Dar, Kucheza Huku Kweli ana Mimba?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Tamasha la Komaa Concert la EFM lililofanyika weekend hii katika viwanja vya Tanganyika Pakers liliwakutanisha mastaa mbalimbali wa muziki akiwemo, Ruby ambaye anadaiwa kuwa ni mjamzito. Muimbaji huyo alionekana akicheza kwa nguvu zake zote hali ambayo iliibua maswali mengi kama ni kweli muimbaji huyo ana mimba au la kama baadhi ya watu wanavyodai katika mitandao ya kijamii.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad