TAZAMA Picha Mama Zari Alivyozikwa Uganda, Diamond Ashiriki Mwanzo Mwisho....

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mama mzazi wa Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Halima Hassan aliyefariki dunia Alhamisi hii asubuhi, baada ya kuugua kwa wiki kadhaa na kulazwa hospitali amezikwa Ijumaa hii katika Kitongoji cha Munyonyo, Kampala.

 Kifo cha mama Zari ambaye alizaliwa Mei 15, 1959, kimekuja ikiwa ni takribani miezi miwili tu tangu mkwe wake, Ivan Semwanga, aliyeaga dunia Mei 25 mwaka huu huko Steve Biko Academic Hospital nchini Pretoria, Afrika Kusini.

Diamond ambaye ni mpenzi wa Zari, alisafiri na team yake ya WCB kwaajili ya kushiriki mazishi hayo. Angalia picha za mazishi.



----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani hatutaki kusema lakini kama munatutia maneno mdomoni kwa hizo makeup wala sura ya majonzi haipo kwelivanae ondokewa na mzazi huwa hivo mbele unaona giza wala musitudanganye strong lady we are strong lady lakini kwa kuobdokewa mwenzangu hasa na mama hapana huoni mume wala bwana hata kukoga unajisahau lakini mwenzetu zari numekuvulia kofia hapana hapana Diamondi kuwa makini huyo dada humuezi na ukitaka jibu sahihi muulize bi Sandra jamani ninechoka kabisa maskini mama wa watu hata hajazikwa bibie anatafuta makeup mara

    ReplyDelete
  2. Mtajiju halijui chozi wale simanzi macho meupeee mmmh

    ReplyDelete
  3. mbona kwenye msiba wa Ivan alijiliza sana au alitaka wamuonee huruma wampe urith wote? ila Mama yake ndo kwanza kakata na kiuno, hana hata simanzi ya uongo! Dai anajifanya kumjali lakini mapenzi yoote yamehama kwa Hamisa.

    ReplyDelete

Top Post Ad