Bill Nass Akana Kutoka Kimapenzi na Nandy

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA






Bill Nass Akana Kutoka Kimapenzi na Nandy
Rapper Bill Nass amekanusha vikali kuwa na mahusiano na msanii mwenzake Nandy.



Bill Nass  amesema hayo wakati anatambulisha ngoma yake mpya ya ‘Sina Jambo’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, yeye na Nandy sio wapenzi na hawana ushikaji wa kusema wawe katika mahusiano.

“Nandy sio mpenzi wangu na pia mimi sio mshijai wangu kama ilivyo kwa Shishi, yaani sijapita pia kwa Nandy kabisa,” amesema Bill Nass

Kwa muda sasa kuna taarifa zimesambaa mitaani kuwa wakali hao kutoka kiwanda cha muziki Bongo wamekuwa katika mahusiano ya kimapenzi kitu ambacho wote wamekuwa wakipinga
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad