Imasemekena lakini eti, Baby madaha ametapeli pesa za watu. Ni baada ya kukopa nguo na kushindwa kulipa. Pia Baby Madaha na rafiki yake Pichani Isabela wanatuhumiwa kwa kumtengenezea ugonjwa Rafiki yao Kabula, Tuhuma hizi zilitolewa jana na mtangazaji wa U Heard akiwa anamuhoji Isabela live Redioni...Sikiliza Hapa Chini:
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini: