Diamond Platnumz sio Mtu Mzuri Kabisa...Atoa Wimbo Mpya Baada ya Ali Kiba Kutoa Wake Jana....Utazame Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz sio Mtu Mzuri Kabisa...Atoa Wimbo Mpya Baada ya Ali Kiba Kutoa Wake Jana....Utazame Hapa

Diamond Platnumz sio Mtu Mzuri Kabisa...Atoa Wimbo Mpya Baada unaoitwa Zilipenda Kitendo Ambacho Wengi Wamekitafsiri Kama kitendo cha Kuuzima wimbo wa Ali Kiba alioutoa Jana....Sikiliza na Tazama Hapa Chini:

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. anajiona kafika maskini kumbuka ulipotoka na uje kuwa mpanda ngazi hushuka na kumbuka ulikuwa na nani wewe kweli si mungwana na hauna hisa ni punda simba hana tabia hizo hata akiwa msituni kuwa mtu ukumbuke utu and for your information KING WILL REMAIN TO BE A KING KIBA KIBOKO YAKO NDIO MAANA UNA HAA HAA

    ReplyDelete
  2. mbona suati ni hizo hizo tuu wala haina utofauti wowote na nyimbo zingine umekaa kama cartoon nimekufananisha na jerry

    ReplyDelete
  3. Halla aaaaa a, chezea kiniba wewe! Utanaswaaaa,kiba hana ushindani wa kipuzi..wamjua ni kiboko yako ndio wamchaka, mkataa watoto huna jipya

    ReplyDelete
  4. na kweli hana jipya mshamba maskini ya mungu ameingizwa kwenye game la mziki sasa anajidai yeye ndie yeye wee urembukeni una mambo hata ufanye nini king kiba humpati utabakia kuwa hivo hivo mkataa mtoto unaelelewa na viajuza jamani tabia mbaya hio ya kulelewa au kulea

    ReplyDelete

Top Post Ad