Faiza Ally Awaponda Wasanii Bongo..Adai Hawajui Kutafuta Kiki Zaidi ya Kulana Uroda Wao Kwa Wao

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


IMEZOELEKA katika Muziki wa Bongo Fleva kwamba msanii akitaka kutoa wimbo mpya ni lazima kwanza afanye vituko mbalimbali ili watu wamzungumzie ndipo aachie ngoma yake. Mwanamitindo maarufu ambaye pia ni mfanyabiashara, Faiza Ally, amesema wasanii wa Tanzania hawana ubunifu katika katika kutafuta kiki.
Faiza ambaye amejifungua mtoto wa pili hivi karibuni, ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram.

“Nilichogundua sasa hivi kutokana na kipindi ninachosikilizaga redioni ni kwamba wasanii Watanzania hawana akili za ubunifu katika kutafuta kiki, zaidi ya wanaume kutoka na wanawake maarufu na wanawake maarufu zaidi ya kutoka na wanaume maarufu.
“Unapokuwa msanii kiki ni moja ya kazi lakini jaribu kuwa mbunifu kidogo zaidi ya uroda! Sema naomba mnisamehe ni ile uhuru wa kuongea tu sijamlenga mtu lakini najua kuna mstari wa kujifunza” ameandika Faiza.

NA ISRI MOHAMED/GPL
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Faiza anamaliza kila maneno ili watu wamuone na yeye ni staa wa kuuza nywele za bandia. kashazalishwa na baba kaingia kizani, hana jinsi mwache aropoke, kachanganyikiwa huyo

    ReplyDelete

Top Post Ad