AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Akizingumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Harmorapa amesema kwa sasa hawana mawasiliano mazuri na P Funk, kwani kuna mambo ambayo yalitokea, yaliyosababisha kutoelewana kwao,
"Nikimzungumzia Majani, kwenye maisha mtu unapitia sehemu nyingi, mfano mimi nafanya kazi kwa mtu halafu maslahi siyaoni, nafanya kazi kwa jasho najituma halafu yeye ndiyo ananufaika, halafu anakuona wewe humfai, na mwisho wa siku ndiyo inakuwa hivyo”, alisema Harmorapa.
Harmorapa kwa sasa ameachia wimbo wake ambao umeonekana kumchana P Funk Majani ambaye alimsimamia kwenye kazi yake ya Nundu, na kumuunganisha na baadhi ya watu ili aweze kufanikisha kazi zake za muziki.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
hamolapa bado tuko njiani anatafuta njia sahihi. ataduka tu. mbona dai alimpa ofa ula iyubo aliingulia kati. ote si chinga ru hamnaiI na na yule alietoka na tunzo kwa obmaa
ReplyDelete