Hatimaye Rais wa TFF Atoa Neno kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hatimaye Rais wa TFF Atoa Neno kwa Wajumbe  wa Mkutano Mkuu
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa shukrani zake za dhati kwa wajumbe wote wa Mkutano Mkuu kwa kumpa dhamana ya kuliongoza soka la Tanzania.

Karia pia amewataka wale wote waliyokuwa wakiwania nafasi mbali mbali za uongozi ndani ya shirikisho hilo ambao kura zao hazikutosha katika uchaguzi bado mawazo yao yanahitajika na kushirikiana kwa pamoja  kuhakikisha mchezo wa soka unakwenda mbele.

Kiongozi huyo wa ngazi za juu ndani ya Shirikisho lenye dhamana ya kusimamia mchezo wa mpira wa miguu nchini amewapongeza pia viongozi wenzake waliyofanikiwa kushinda na kuwaomba kushirikiana kwa pamoja wakati huo huo akiwashukuru wadau, Serikali na taasisi zake bila ya kuvisahau vyombo vya habari kwa ushirikiano wao katika kufanikisha zoezi la uchaguzi kwenda salama hadi mwisho.




----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad