Huu Hapa Ushauri wa Huddah Kwa Ali Kiba na Diamond

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Huu Hapa Ushauri wa Huddah Kwa Ali Kiba na Diamond
Huddah ambae ni Mrembo kutoka Kenya aliepata umaarufu wake kupitia shindano la Big Brother Africa, ni shabiki mkubwa wa Bongofleva na amekua akifatilia vitu vingi vinavyoendelea kwenye muziki huu ambao ni mkubwa pia nchini Kenya.

Baada ya kusikia kuhusu beef inayoendelea, Huddah kama shabiki mwingine yeyote ametoa ushauri wake na alianza kwa kusema “napenda muziki wa Bongofleva, Wakenya wanapenda sana Alikiba… mimi napenda muziki wa Alikiba lakini hata Diamond sidhani kama ni mbaya, mziki wake ni mzuri na ni Mfanyabiashara



-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad