Kesi ya Wema Kusomwa Mara 2 leo Mahakamani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kesi ya malkia wa filamu nchini Wema Sepetu imesogezwa mbele Jumatatu hii.

Kesi hiyo inayosikilizwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inatarajiwa kusikilizwa tena majira ya saa sita na nusu mchana leo baada ya Wakili wa upande wa utetezi kushindwa kufika mahakamani kutokana na kupata dharura.

Aidha Hakimu anayesikiliza kesi hiyo alipanga kuisogeza mbele mpaka Alhamisi ya wiki hii lakini Wakili wa upande wa serikali alidai kama kesi hiyo haitaweza kusikilizwa tena leo haitawezekana kupata ushahidi kutoka kwa Mkemia Mkuu kutokana na kubanwa na safari nyingi.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad