Lulu Michael Ampiga Dongo Babu Kubwa Diamond Baada ya Kutoa Wimbo ili Auzime wa Ali Kiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Lulu Michael Ampiga Dongo Babu Kubwa Diamond Baada ya Kutoa Wimbo ili Auzime wa Ali Kiba

Mrembo kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Elizabeth Micheal maarufu Lulu ameamua kutupa jiwe gizani katika mtandao wa kijamii wa Twitter ambapo ameandika umeshagundua kitu kizuri ukikifanya kwa nia mbaya hakifanikiwi kwa uzuri wote.

Kupitia mtandao huo Lulu ameandika “Hivi Umeshagundua Kitu Kizuri Ukikifanya kwa Nia Mbaya Hakifanikiwi Na Uzuri wake woooooote…!😒.”


Kauli ya mrembo huyo imetafisiriwa kuwa ni ndogo kwa WCB, baada ya kuachia ngoma siku sawa na Alikiba, kitendo ambacho ngoma ya Alikiba imeonyesha ikiwa na kasi ya kupata views wengi na kutreanding kwa muda mrefu.

Na Laila Sued
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad