Mawazo Yangu Juu ya Rich Mavoko....Lolote Atakalofanya au Kwenda Tunaliona Jina la Diamond...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ana nyimbo nzuri sana, ni mtunzi mahiri sana wa mashairi na pia dogo ana muonekano, but siku zote kitu kitakachokufanya aendelee kuonekana wa kawaida na hakui kimuziki ni theory flan inaitwa "playing as a son of". theory hii kiukweli ndio ilimkimbiza neymar pale barcelona, japo ni waandishi wachache sana walioandika hili na hata inaelezwa ndio kitu halisi alichomuambia rafiki yake Gabriel Jesus.

Asingeweza kuwa mkubwa namba moja dunian kama angeendelea kucheza as a son of lionel messi pale Catalunya, alihitaj kuwa nje ya messi kuimarisha empire yake na ukubwa wake.

Theory hii pia ilitaka kumkimbiza kyrie irving wa Cleveland Cavaliers, anahtaj kuwa mkubwa zaid bt haitawezekana kama ataendelea kucheza as a son of lebron james. Theory hii ndio wachambuzi wa kikapu pale NBA walimueleza Paul George aliyetoka Pacers kwenda Oklahoma kuwa hautakuwa mkubwa tena kama unaenda kucheza as a son of Russell Westbrook, vivyo hvyo kwa zitto kabwe aliona hataweza kuwa the great kama ataendelea kuwa chin ya mbowe na akaamua kutaka kugombea uenyekit na alipogonga mwamba akaamua kujitoa. rich mavoko hautakuwa mkubwa zaid ya hapo ulipo kama utaendelea kuwa a son of diamond platnumz, utaendelea tu kuprevail na hautapotea but hutakuwa zaid tena.

Wanamuziki wote wanaoshine under the umbrella of somebody huwa hawakui. Rejea Mayokhoun wa Davido, still hajulikan, rejea Bred wa Davido pia hayuko on air kivile. Yuko wapi Correde Bello a son of Don Jazz? Hata Tekno kama sio kustukia kujitoa kwa Davido asingekuwa star mkubwa Afrika.

Fally na wengineo walijitoa chini ya kaka zao ndio wakajulikana zaid Afrika. Miaka 7 au 8 iliyopita ulikuwa ukichukuliwa kama mtu pekee tanzania uliyekuwa ukishindanishwa na diamond. But now unasimamishwa level za baraka, rayvan na neddy. Walichofanya diamond na joh makin ni akili kubwa mno. walihofia majina kudondoka baadae, na wakaamua kujenga empire ili kila memba wa empire lolote atakakofanya au popote atakapokwenda atakuwa anamuwakilisha yeye, ndio maana rich mavoko lolote afanyalo na popote aendapo tunaliona jina la diamond platnumz likipepea na si jina la rich mavoko.

NI MAWAZO NA MATAZAMO WANGU..
NINI MAWAZO NA MTAZAMO WAKO? (Free Discussion)

By Alvinroley
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad