MKWARA wa Rais JPM Wagusa Mahali Pake...Waziri Charles Mwijage Amuomba Rais Magufuli Radhi Kwa Kumkwaza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Waziri wa viwanda biashara na uwekezaji ndugu Charles Mwijage amemuomba rais Magufuli msamaha kwa kumkwaza katika kazi na kuahidi kufanyia kazi maelekezo yake.

Aidha katika hatua nyingine waziri Mwijage amemuomba rais Magufuli kutomkumbusha tena majukumu yake kwakuwa kwa kufanya hivyo atakuwa anamuumiza kisaikolojia.

Mapema jana Rais Magufuli ametamka waziwazi kuwa ndugu Charles Mwijage ni miongoni mwa mawaziri wanaomkwaza kiutendaji na kuenda mbali zaidi kwa kuwaita baadhi ya mawaziri wake kuwa ni wapumbavu.

#PambaneniNaHaliYenu

Si muondoke humo mumuachie? Yanini kung'ang'ania na masimango yote hayo?
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad