Mmiliki wa Facebook Billionea Mark Zurckerberg Apata Mtoto Mwingine

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mmiliki wa Facebook Billionea Mark Zurckerberg Apata Mtoto Mwingine
MKE wa Bilionea mwanzilishi na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Marc Zuckerberg ambaye ni daktari wa watoto nchini Marekani amejifungua mtoto wa kike juzi Jumatatu, Agosti 28, usiku.

Mtoto huyo ambaye ni wa pili kwa bilionea Zuckerberg na mkewe Priscilla Chan, amepewa jina la August.

Baada ya August kuzaliwa, Zuckerberg ameandika barua ya wazi kwa mtoto wao wa kwanza ambauye pia ni wa kike, Max aliyezaliwa mwaka 2015 akimuasa kucheza na mdogo wake.

 “Mimi na Priscilla tuna furaha sana kwa kumpata mtoto wetu August. Tumemuandikia barua  kuhusu ulimwengu tunaamini atakua na tunaamini hatakua haraka haraka” ameandika bilionea huyo katika ukurasa wake wa Facebook.


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad