Mwanamuziki Rubby Acharuka na Kuwatolea Povu Wanaosema Amefunikwa...'Bongo Hakuna wa Kunifunika'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii anayefanya vizuri na wimbo wake 'Na Yule' Ruby amesema hakuna wa kuziba nafasi yake katika 'industry' ya muziki huku akidai hawezi kumchukia Nandy kwa kuwa ameshafanya naye kazi nyingi na mafanikio yake ndiyo furaha kwake.

Ruby amefunguka hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live (FNL) kinachorushwa na East Africa Television na East Africa Radio, baada ya kuwepo kwa tetesi zinazodai kuwa msanii huyo amepotezwa Nandy kwenye muziki.

"Ni maneno ya watu ambayo yapo kila kukicha na mimi siwezi kujifananisha naye kwa kuwa mimi ni Ruby na yeye ni Nandy. Nafasi yangu ipo pale pale", amesema Ruby.

Kwa upande mwingine, Ruby ameweza kuyaweka mahusiano yake wazo kwa mara ya kwanza ndani ya FNL ambapo amelimtambulisha kijana mwenye jina la Genely Hb kuwa ndiye mpenzi wake wa sasa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad