AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Ukiwaza na kuumiza kichwa Sana, na ukafikiria nje ya boksi kisawasawa ndipo utagundua kwanini JK mambo mengi alikuwa anaamua kukaa kimya na kuepuka kuyatolea matamko....nimejikuta nawaza Sana katika kipindi cha utawala wake, lile sakata letu (Tanzania) na Rwanda, hivi angekuwa ni mtu wa kujibu kila lililokuwa linarushwa toka upande ule, uhusiano wetu ungekuaje??????? Tungekuwa tumefikishana wapi??? Tungefika wapi??? Mtu aliamua kuonekana mjinga na mpumbavu lakini kumbe alikuwa ana maana kubwa Sana....
Seriously, nimejikuta nawaza Sana, japo wengi tulimkebehi kwanini hachukui hatua, lakini sasa naelewa ukimya wake ulimaanisha nini!
USINIULIZE KWANINI
By Patty Del Duero
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Hujui unaloliandika ungeshilikisha kwanza mtu kwa kile unachokiandika.operesheni kimbunga unaikumbuka?
ReplyDeleteHata Mimi nimeanza kuelewa ukiwa kiongozi wa nchi hupaswi kuongelea kila jambk unafaa upate muda was kufikiria kama hujasema
ReplyDelete