Sumaye Atema Cheche Kuhusu Kuchuliwa Mashamba Yake na Serikali

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Sumaye Atema Cheche Kuhusu Kuchuliwa Mashamba Yake na Serikali
 Waziri Mkuu Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Tatu, Frederick Sumaye amesema kunyang'anywa mashamba yake si sababu ya yeye kufikiria kurudi CCM.

“Kunyang’anywa mashamba yangu najua ni uamuzi wa juu haunidhoofishi nifikirie  kurudi CCM’’

Sumaye amesema mashamba yaliyofutwa na Serikali yalikuwa yanalipiwa kodi na yalikuwa yanamilikiwa kisheria.

"Wanataka nirudi CCM, mimi sitaki kurudi CCM, kwanini wananilazimisha?  Nilisema sababu za kuondoka huko, waseme wazi sababu za kuyafuta ni za kisiasa tu," amesema Sumaye leo katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe umechanganyikiqa au unachanganya. tutachukua mkojo. unabwabqajuka qala hujiwlewi.
    una qatoto wa ngapi?
    na umri wako ni miaka mingapi?
    hali tako kiafya. unaisimulia vipi!
    mqenAko Edo anarudi kijijini kuchunga.
    je wewe una hamnako mjini au unarudi pia kuchunga?
    Eka tatu zinakutosga kqa afya yako na aiajabu ukapumzika mara sita.
    embu kubali ukweli cmm huwafai na pile pole hakutaki

    ReplyDelete

Top Post Ad