Swala la Diamond na Hamissa Mobeto, Wanafiki Ndio Wapo Kazini ila Hawajui Watendalo...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Swala la Diamond na Hamissa Mobeto, Wanafiki Ndio Wapo Kazini ila Hawajui Watendalo...
Hahahahahahaha ujue kuna Vitu inabidi uanze kucheka tena unacheka kwa dharau kubwaa...Kama sahizi unamsikia sana Hamissa mobeto ujue kuwa Wanafiki wapo kazini kuhakikisha wanamtingisha Diamond katika mahusiano yake na Target ni kumuumiza ZARI

Kama ZARI Atakubali kutikiswa na Wanafiki kupitia HAMISSA mobeto basi atakuwa amejishushia heshima sana.....Mimi Zari mbali ya kumkubali kama mwanamke mtafutaji na mkubali pia kama mwanamke anae pitia challenge nyingi sana tena na kubwa kubwa.....wakati wa Mimba ya TIFFAH alisemwa sanaa hadi nikajiuliza huyu mtoto atakae zaliwa atakuwaje? Lakini Mungu si Mwanadamu....kapitia misiba 2 mikubwa hivyo hizi kelele za kuwa HAMISSA ana Mtoto wa Diamond Sio za kushangaza sanaaaa!!!

Watu wameanza kumjua HAMISSA na DIAMOND baada ya Wimbo wa Salome na Ile birthday lakini ukweli ni kwamba HAMISSA na diamond Wameanza urafiki kabla hata diamond hajawa na Wema Sepetu hivyo kama diamond angemuhitaji Hamissa alikuwa anampata toka kitambo!! ASINGEENDA KWA PENNY......

Hamissa Kaoneka Kwenye video ya Diamond ya MAWAZO wimbo ulitoka 2012 sijui 2013 kitambo hichoooooo HAMISSA walikuwa washkaji na Diamond kabla ya wema na penny

Ndio maana nasema Kuwa Wanafiki ndio wanao eneza story za Diamond na HAMISSA ........Hamissa hajaanza kupenda kazi za diamond leo! Sasa hizo story za kuwa Hamissa ana Mimba Ya diamond sijui ana mtoto wa Diamond hizo story za KUOKOTWA .....Ila Diamond atachelewa kupotea kwenye Game sababu ni kama hizii anaongelewa kuliko msanii yeyote yulee

Hili nalo litapitaa

By Danya
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. kwanza mnafiki ni wewe mwenyewe ulioandika, halafu Hamisa kathibitisha kama Dai ndo usingizi wake nakushangaa limbukeni wewe unaelazimisha Zari apendwe tuu, wakati kuna mademu kibao wanaliwa na Domo.

    ReplyDelete
  2. wewe unaejua ulitendalo tuambie kama mtoto si wadai. bi kizee hana jipya hawezi kumuacha Domo hana pa kwenda nani atamsugua na matoys kashayatupa. vumilia tuu habari ndo hiyo Hamisa kashamzalia Nassebu upo nyonyo!

    ReplyDelete
  3. wabongo bwana.......mnajua kila kitu cha undani wa mtu.

    ReplyDelete
  4. Wabongo hamuna la kufanya tafuteni kazi mufanye hayo ya dai na zari hamisa waachieni wenyewe

    ReplyDelete
  5. yes wabongo tunajua kila kitu cha undani wa Dai na Hamisa couz hawajifichi na kazi tunazo nyingi tu za kufanya ila hata wewe ulie coment huna kazi pia. Nyambafuuuuuuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad