Wimbo wa 'Despacito' Wavunja Rekodi ya Dunia Kwa Kutizamwa Mara 3 Bilion Kwenye Youtube

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa wale wadau wa muziki na wafuatiliaji ,Luis fonsi ft Daddy Yankee(latin american)amevunja rekodi ya DUNIA baada ya wimbo wake aliourelease YouTube miezi 6 iliyopita kutizamwa Mara bilioni 3 YouTube.
Kiukweli video ya wimbo huu ipo vizuri Sana!!!!!kuna dance moves sijui niite kubambia ama nini!,,'pale wanapoimba de--spa---cito'kuna namna Fulani wanapacheza 'sexy and unique of course!'.hivyo wimbo unapaswa uwekeze kwenye lyrics,theme,na hata video.!

Hapo nyuma rekodi io ilishikiliwa na mkorea aneitwa Psy,wimbo ulikuwa unaitwa gangnam style,,wimbo ulitazamwa sana mpaka mtandao wa YouTube ukashindwa kuhesabu!!,,ingawaje wimbo wa 'see you again wa wizkhalifa ulikuja kuipita gangnam style(lakini bado gangnam style ya mkorea ndio iliyoshikilia rekodi kwa miaka karibia mitano..

Kitu interesting about this song(despacito)ni kutazamwa kwa kasi kubwa kupita kiasi!!,July/2017 ulikuwa na views 2.4-2.6 mpaka august/2017(mwezi mmoja tuu)umegonga 3billion views!!,,hii inamaanisha kuwa ndani ya mwezi mmoja umetazamwa zaidi ya mara milioni mia sita..wonderful enough wimbo haujaimbwa kwa kingereza

Ikumbukwe kuwa Justin bieber aliufanyia remix (depacito)kitendo kilichopelekea huu wimbo kupenyezwa kwa jamii ya wanaozungumza kingereza,hivyo wimbo ukazidi kupata umaarufu.

Kwa sasa nyimbo tatu zinazoongoza kwa views nyingi ni.
1.despacito-3bil
2.see you again-3bil
3.gangnam style- 2.9bil

Hiyo ni kwa YouTube tuu,ukijumlisha na streaming services nyingine kama Spotify,apple nk unaongoza kwa kutizamwa Mara 4.6bil.

 UTAZAME HAPA:
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad