Tundu Lissu Angeweza Kuisaidia Sana Serikali Katika Suala la Makinikia ya Acacia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ikifika wakati tukaweza kutofautisha itikadi zetu na maslahi ya Taifa basi tutakuwa tumepiga hatua kubwa.

Mazungumzo kati ya Kampuni ya madini Acacia na Serikali huenda yangezaa matunda mazuri kama serikali ya ccm ingekuwa tiyari kuwatumia wanasheria waliobobea kama kina Lisu na wengine bila kujali uchama.


Tuweke maslahi ya Taifa letu mbele.

By chakii/Jamii Forums
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wacha utumbo...Huyu ameshakula na alikuwa anawaridhisha waliomlisha ili aweze kuleta street influence na katika chombo cha kutunga sheria . Undo fikra potevu ya kumshirikisha KIBARAKA na Kundi lake . Mh Raisi amesha unda tume na wako kazini. Fupisheni hizi Dhana na mwelekezo mbaya Mitandaonni.

    ReplyDelete
  2. Wewe mbona kichekesho... Lizzu Kabobea...!!!! Kabobea Nini???.... Wacheni utani. Kwanza kuleta Jina la Akasia unatufanya tusikuelewe. Unahitaji kujua suala Zima kabla ya kuanza kuandika Mada uliwa na Habari nunsu nusu. Maswala ya Taifa Tumeyashika Sisi na Tunayashughulikia. Tafadhali Fupisha mitandaoni.

    ReplyDelete
  3. lizzu Zamu ya nani leo...??? ManiFongo.. umemuona Star Msaga Sumu.... Right Down..Halafy Cholowamba halafu ndiyo wewe Lizzu. Omba U Hai sio Unyiramba.

    ReplyDelete
  4. Wewe unaeleta Suala la Tundu hapa cumamaako. Tundu Lisu ashirikishwe mara ngapi? Tundu Lisu alishirikishwa kule bungeni akawa mpingaji mkuu kuhakikisha hata hii hatua ya leo ya Mazungumz haifikiwi. Huyu Lisu ni Msaliti namba moja kwa sasa kwa maendeleo ya watanzania.

    ReplyDelete
  5. Lisu ni mtanzania moja hodari. Lisu ni ngao ya taifa. Lisu angekuws kwenye nvhi ya wenyeakili angekuwa Baracka Obama wa kwanza. Lisu hahitaji sifa kajivunia jina kubwa africa, saddec, africa mashariki na dunia nzima. Tanzania mbapata mpini mzuri ccm inamwangusha. Kama lisu hatapewa nembo, watanzania wote wajinga. Kuna lisu, kuna mnyika dogofogo, kuna kafulila, kuna mbowe, kuna mrema, bila kumsahau Mdee na dada wa shinyanga ambaye nzee Wasira alimdharau kabisa bila kujua wassira mda wake umepita.namsikitikia Slaa, pia namwonea huruma Zitto.hajui alilokosea.na bado hataki kijijua.Mbowe inabidi apate nembo. Si jasiri tu, lissu ni hodari, anahekima akili, elimu ambspo anachukua muda kujielimisha mwenyewe.wengi wanakuwa vionhozi hawajielimishi. Wanakuwa wababe. Africa itakombolewa na watu miamoja kama lidu. Watakaodai nchi ziendeshwe kwa kufuata sheris. Wajinga wengi ni wajinga na wapumbavu hawana uwezo na tambuzi ya kuelewa hili. Ni maskini wa fikra.ukiwa maskini wa fikra umegonga mwamba. Huwezi kimwamsha, kumwelimisha mjinga na pumbavu. Utagonga mwamba. Wengi watanzania wko huko. Wajinga, wapumbavu , vilaza. No hope.wanatembea wamkiwa wamekufa. Ni ujinga usioelezeka. Na ni aibu kwa kutokuwa na akili na mwelekeo. Unasoma point nyingi zimejaa utumbo mavi.na wengi wapo huko. Kumenuka tanzania. Kumeokotwa tanzania ndo maana kunasifiwa na mabepari. Ukoona bepari anakusigia kisha kueeka mikononi mwske hutoki. Aibu. Tunajitawala kwa vipi? Hivi nani anajua kunegotiate? Sijameona mcvm hata moja. Ni watii tu. Ningependa kuona na kusikia hizo negotiation, naamini zinatis haya. Wengi kuzungumza matatizo. Ndo maana hawaweki wazi. Kimombo na kujisikia confident kwa wazungu wengi ni shida tupu.

    ReplyDelete
  6. Lisu ni Msaliti na namba moja kwa sasa kwa maendeleo ya watanzania. Hana chochote cha maana zaaidi ya kujitafutia kiki kwa kutumia jina la Maghuful. Lisu ni mwanaharakati uchwara anaetamani kuwa kibaraka wa mataifa ya kigeni, piga ua hakuna kama Maghuful.

    ReplyDelete
  7. Kwani Kisutu, Lini anaende tena? Hivi sasa anaharibu upelelezi. DPI fanya kazi yako! Naa hao washikaji wake wameshamchoka. Domo lake chafu. na Aiki pia zinaanza kuvurugika. Anahitaji matibabu haraka iwezekanavyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad