Dimond, Hamisa Mobetto Wampost Wema Sepetu na Kumtakia Siku Yake ya Kuzaliwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dimond, Hamisa Mobetto Wampost Wema Sepetu na Kumtakia Siku Yake ya Kuzaliwa
Diamond Platnumz na Wema Sepetu bado ni maBest Friend na kila wakati hupeana ushirikiano kwenye mambo tofauti wanayofanya.

Jana ikiwa ni Birthday ta Wema Sepetu, Diamond Platnumz amempost akiwa na Idris Sultan na Kuandika “Happy birthday Madam….🎂”


Naye Mobetto akamua kufuata nyayo za mzazi mwenzake Diamondi na kumposti wema huku akisindikiza kwa ujumbe mzuri.

Mashabiki wa Hamisa Mobetto wamemsifia Model huyu baada ya Kumpost Wema Sepetu kwenye Birthday Yake jana.

Hamisa amepata Sifa hizi kutokana na Imani iliyojengeka hivi karibuni baada ya kupata mtoto wa Diamond Platnumz kuwa Urafiki wake na Ex wa Staa huyu ‘Wema Sepetu’ Umekufa.

Fahamu kuwa mahusiano ya Diamond na Wema Sepetu yalikuwa miongoni mwa mahusiano maarufu zaidi Afrika ya mastaa wawili.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari kamgomea Dai, hawajarudiana Bi masumbuko kampa masharti makubwa Dai.

    ReplyDelete
  2. yaani huyu bi ajuza kabakia kujizuzua kwenye inta eti mother of five bibi sura yako pevu hata sauti pia in ajieleze eee baki kujisumbua mara wigi jeusi mara blonde utamaliza picha kila aina ila tumekugundua 48 years old

    ReplyDelete
  3. hahaaa. Ajuza anatamani awe kama Hamisa ndo basi tena miaka ishaenda. eti 37 kumbe 47lol

    ReplyDelete

Top Post Ad