Muna Love Ndio Chanzo cha Bifu Kubwa la Young Dee , Janjaro- Sholo Mwamba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Muna Love Ndio Chanzo cha Bifu Kubwa la Young Dee , Janjaro- Sholo Mwamba
Msanii wa Singeli bongo Sholo Mwamba ametoa siri ambayo wengi walikuwa hawafahamu juu ya ugomvi wa Young Dee na Dogo Janja na kusema Muna love ndio chanzo cha bifu hilo kubwa kwa sasa.

Akizungumza kwenye eNewz ya East Africa Television, Sholo Mwamba amesema alishawahi kuwakuta wasanii hao na bosi wake 'Muna Love' wakijiachia na kueleza kwamba 'Madogo' hao wanagombania penzi la Muna love.
"Wahuni hawa nimeyasikia mazingira yao sema wanayumba kimazingira fulani, habari zao miyayusho, tena ving'asti tu wanajisahau, si wenyewe tunawakuta kwa bi mkubwa wamekaa miguu juu, mambo yao yametokea wanagombania mademu, baada wafanye muziki wao wanafelisha michongo, sababu zao wanagombania bi mkubwa wanafugwa fugwa tu na bi mkubwa", amesema Sholo Mwamba.
Sholo Mwamba ameendelea wa kusema kwamba pamoja na kwamba ameshagombana na bosi wake huyo lakini hakuweza kumuita Young Dee au Dogo Janja baba, kwani ni jambo ambalo halimuingii akilini.
"Mimi siwezi kumuita Dogo Janja baba, siwezi kumuita Young Dee baba, hata ukiangalia ugomvi wao sababu ni demu na demu mwenyewe ni bosi wangu", amesema Sholo Mwamba.
Young Dee na Dogo Janja sasa hivi wamekuwa paka na panya, huku wakitishiana usalama kila mmoja kwa kutaka kumpiga mwenzake akimuona.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad