Gigy Money Apigana Kikumbo na Mzigo wa Hela Agomea Mahari ya Milioni 5

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gigy Money Apishana na Mzigo wa Hela Agomea Mahari ya Milioni 5
MUUZA nyago kwenye video ambaye pia ni msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ amejikuta akipishana na bahati baada ya kugomea mahari ya shilingi milioni 5 kutoka kwa mwanaume aliyetaka kumuoa.
Akizungumza na Star Mix, Gigy anayebamba na Wimbo wa Papa alisema, siyo kama hapendi kuolewa lakini anachoangalia ni thamani yake kwanza ambayo kama ni kutolewa mahari basi iwe zaidi ya milioni 5.
“Namshukuru Mungubahati ya kuolewa ninayo, lakini watu wanashindwa kutekeleza mahari yangu ninayotaka na sioni haja ya kukiuka kigezo changu sababu kama ridhiki ipo ipo tu.
“Kuna Jamaa alileta posa, lakini alivyopewa hilo sharti la milioni 10 jasho likamtoka, akalilia milioni 5 nikagoma, huo ndiyo msimamo ila uamuzi wa mwisho ni Muumba siwezi jua huenda kapuku akaniopoa huko mbeleni,” alisema
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umefanya umalaya weeeeeeeeeeee leo unapata wa kukuoa unakataa kisa millioni 10! Hivi unajiona bado una thamani?? We subiri utakuja juta....unatakwa-hutaki-siku-ukitaka-utakataliwa!!! Habari ndio hiyo..........

    ReplyDelete
  2. muongo huyo! anataka kuonyesha watu yeye ni matawi ya juu, kumbe ni dada poa.

    ReplyDelete

Top Post Ad