Hamisa Mobetto Kufunguka Jumatatu na Kueleza Jinsi Diamond Alivyo Ahidi Kumuoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jumatatu kuanzia saa saba mchana Ndug Hamisa Mabeto atafunguka kupitia Clouds Fm kwenye kipindi cha XXL!Hii.imekuja baada ya mzazi mwenzie Diamond Platinumz kufunguka wazi na kueleza mengi kuhusu wao na kumkana hadharani japo alimkubali mtoto...
Moja ya mambo yaliyo mkera Hamisa ni kitendo cha Diamond kusema hawakuwa na ahadi yeyote ile wakati ukweli ni kwamba Diamond Platinumz alimuahidi kumuoa kabisa na ndio maana alikubali kutembea nae na anasema Diamond alisema anampenda yeye kuliko Zari!

Pamoja na hilo Hamisa anakuja kukanusha kuhusu mambo mengi aliyo yasema Diamond hasa ya kusema alikuwa anampa kila siku elfu 70+ na kumkubali mtoto toka mwanzo...jambo ambalo Hamisa anasema ni urongo...

Sasa anasema jumatatu atasema mengi na atasema kila kitu na kuhusu aliyekuwa ana record video zao na aliyekuwa ana husika kuzivujisha....

Wana jamvi naomba niishie hapa na tusubiri jumatatu saa 7 clouds Fm.

NB: Huu unaweza kuwa mwaka mbaya kwa Diamond maana Hamisa anakuja kumwaga mboga na kutoboa masufuria kabisa...
Wale ambao hampendi habari za Diamond na Zari nawashauri.msitumie Smart phone mpaka mwakani maana hii iliyobaki ni ya habari zao tuuu...

Wasalaam...
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KAMA KUHAIDIWA KUOLEWE NI WENGI WAMEHAIDIWA NA WAKAACHA SOLOMBA !!!!

    ReplyDelete
  2. funguka dada funguka kama yeye alivo funguka na kusema uongo sema yote tapika yote watajijua baadae bi kizee kwa jinsi mapovu yalivomtoka na yanazidi kumtoka just because of mwanaume masikini ajuza wee haya basi hizo hela A ivan muandikie zote daimond akurudie cos wewe una nunua mapenzi

    ReplyDelete
  3. Afanye kazi yeye siyo kilema, hajifunzi tu pale alipo tegesha mimba kwa majay?! Atazaa mpaka na pepo sasa kwa kuendekeza maisha ya mteremko.

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe umesema kweli fanya kazi bibie!!! achana na waume za watu!!!

      Delete
  4. HIVI NI JUMATATU IPI ANAFUNGUKA JAMANI?

    ReplyDelete

Top Post Ad