Hivi Kwanini Baadhi ya Watanzania Wanataka Diamond Aanguke Kimuziki?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Diamond Platnumz ni mwanadamu ana madhaifu yake kama alivyo binadamu yeyote yule. Lakini katika picha kubwa na kimuziki huyu ndugu yetu anaiwakilisha nchi vyema sana huko nje.

Nadhani hili ndilo la Msingi na tungebaki kuliangalia wote kama Watanzania. Kuwa na timu siyo makosa hata Yanga na Simba ni Wapinzani wakubwa lakini tukija kwenye Taifa Stars hizo timu tunazivua na tunavaa Utaifa. (Huu ndiyo Uzalendo jamani)

Utaifa ukiisha tunarudi kwenye timu zetu na kuanza kung'oa viti pale uwanja wa taifa. Hivyo basi kwenye kujenga sifa za wasanii wetu awe Ali Kiba, Diamond au Vanessa Mdee tushindane humu ndani lakini tusifanye chuki kiasi cha kutaka kuchafua sia zao. Hao ni watoto wetu kabisa,watoto wa nchi hii: Hakuna mzazi anayetup watoto jamani.

Tumtie moyo Alikiba na tumtie Moyo Diamond: Pia tuwakosoe pale wanapofanya vibaya hali tukiwa na dhamira safi kabiaa ya kutaka kuwajenga kimuziki. Tuepukane na fitna,majungu na uzandiki l: haya mambo hayajengi kabisa.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Acha waendelee na majungu mwenzie anaingiza pesa diamond namkubari fighter artist big up broo

    ReplyDelete
    Replies
    1. WEWE MPUMBAVU SANA SASA HASIEINGIZA ELA NANI HAPA DUNIANI MBONA WENGINE HAWAJITANGAZII TENA WANAINGIZA ELA NYINGI KULIKO YEYE. WEWE NA DIAMOND WOTE MATAILA WA KIMAISHA

      Delete
  2. Sababu hana heshima na wanaomfanya awe hapo.pia anaushamba mwingi kama vile kazaliwa kijijini. plasi mashauzi limited

    ReplyDelete
  3. hakuna mtu anaetaka daimond aanguke ila aache kujisifu na kutukana watu mbona wako wengi wanaoingiza hela kuliko yeye na huwasiki kusema na kuropoka ovyo mwenzetu kizungu kafundishwa na wanawake zake wema na penny sasa si ushhkuru instead of kujidai na kuringa akimbuke alipotoka and still he has a long way to go

    ReplyDelete
  4. ni mwizi sana wa views, na anajiona kwa kuwafunulia madem dudu yake than hana hishima kabisaa, kuna watu wanapesa huwasikii hata kuongea. yeye kapata aibu ya Kiba kupata views nyingi so anahaha kutoa nyimbo ili aonekane yuko juu. tushamjua tabia yake kama Le muduzi kibamia (Madolezz)

    ReplyDelete
    Replies
    1. yaani wewe ANON wa 13.55 ni mshenzi sana naona huyo kuba anakuinamisha mshenzi wewe, unavyosema mwizi kakuibia mbunye yako???? acha ushamba mbwa wewe aibu yako mwenyewe unainamishwa na kiba. pigana na hali yako achana na dai

      Delete

Top Post Ad