AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Umesikia habari za ikulu ya Madale kufuka moshi? Sahau kuhusu Hamisa Mobetto na wengine, mshindi wa BBA mwaka 2013 (The Chase) Dillish Mathews ndio habari ya mjini kwa sasa. Mrembo huyo ambaye ni raia wa nchini Namibia anadaiwa kuuingilia utamu wa Zari The Bosslady kwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Diamond. Mfahamu zaidi malkia huyo kwa picha hizi hapa chini.
----
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
-------------------
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
INTERNSHIP VACANCIES
GOVERNMENT VACANCIES
NGO'S VACANCIES
GOODLUCK
HAMPATI ZARI KABISAAAAA
ReplyDeleteMie naona mrandaoni. Lakini mzuri pia
ReplyDeletehampati huyo bi kizee kwa nn? mnadanganywa na editing zake za kuweka makeupp na kubana mdomo!
ReplyDeleteahahaaaa watu mna maneno sana humu
DeleteHuyo uliomuona Dilish hana make up?.mfate kijiji kwao utamkimbia.Zari kiboko yenu
Deletehuamini kama anawatoto wengi ,bado anadai. .
ZARI MOTO WA KUOTEA MBALI,NAWEZA SEMA TOP TEN YENU YA KIBONGO HAPO ET BEAUTIFUL GIRLS N LADIES ATAONGOZA ZARINA HASSAN....UKWELI USEMWE NA UONGO HUJITENGA..HAO WAREMBO WETU WENYEWE WANAKIMBILIA KUWEKA MAKALIO YA KICHINA,MACHUBUZI MPAKA KUPITILIZA ,IQ,ZAO HAZIMFIKII THE BOSSLADY ZARI..HAWANA AKILI YA BIASHARA AU NAWEZA SEMA MISINGI YAO KIDUCHU AU WAKIHONGWA NA WAO WANAHONGA KAZAI KWELIKWELI..ZARI OYEE thumb up..na wenye wivu naye wajinyonge..
ReplyDeleteila mtoto dillish mkali bana namfanaisha na RIHANA au ww unasemaje?
ReplyDelete