Zari Hassan Afanya Kufuru Kwa Pesa za Ivan..Achoshwa na Bata Ndogo Ndogo za Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Katika hali ya kuonesha kukerwa na tabia ya diamond kutoka na mshiriki wa big brother 2013 dillish mathews zari amepost kwa page yake ya snapchat kuonesha kwamba hachoshwi na batavuzi ndogo ndogo na kuamua kununua gari mbili aina ya mercedes benz g 63 na bentley mulsane...Aanza Kumkubaka Marehemu Ivan Katika Posts zake


----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. IPE ROHO KITU INATAKA BANA!!!

    ReplyDelete
  2. stress za dick ya Domo zinamsumbua, pumzika Mamma mwambie Halima mapengo hakuna tena mama mjengo.

    ReplyDelete
  3. hee hee ulinyakua na sasa kanyakukiwa nunua magari jifanye kama mtoto wa miaka 22 daimond kaoza namibia

    ReplyDelete
  4. upo bi ajuza utakoma uliambiwa daimondi alikuwa anataka kuzaa ahe arithi mali ya ivan mwenyewe ukaona umefika na umepata basi umepatikana auze rungu auzze whatever kapata ndogo ndogo damu inachemka hio ulie tu ajuza kaa utue we nunua tu magari jihashue na nguo hizi na zike vaa jeans nenda saloon zudisha sindano za botox mwenzako yuko juu kwa juu anakula vi chiken vi changa upo?

    ReplyDelete
  5. hee hee he unanifurahisha unafikiria hela za ivan zina mnunua nani umechelewa jamvini karamu imeshaliwa ulie tu dada eti dont ask haya hatuulizi nenda dinner piga picha kila aina dia anakula raha

    ReplyDelete
  6. si unaona eeh utabakia kupiga mapicha ya kika aina ulifikiria kuvaa kwako au mawigi na fake make up zako utanunua watu hio ni KARMA kwanza unentendea Ivan vibaya sana oile huyu daimondi alikuwa na wema uakafanya yako ukamnyakua sasa hayo ni malipo na bado you know bado kipigo cha Allah unachezea dini mwanamke wa kiisalam hawi hivo

    ReplyDelete

Top Post Ad