Kwa hili la leo Hamisa Mobetto Aingizwe Kwenye Orodha ya Mashujaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hakika baada ya Diamond kuhepa hepa kuhusu Mtoto Nasib Abdul leo amekiri kuwa ni suna yake.......

Hamisa ni shujaa kwasababu hakurudi nyuma aliendelea kuchokonoa hadi Mzee Baba yakamfika shingoni inabidi ajitokeze kusafisha hewa.......

Kama Diamond angepuuza makombora ya Hamisa hakika yule Binti wa Kiganda angeibuka Shujaa lakini kwakua makombora yameifikia Ngome ya Madale na kwa Madiba basi mshindi Sukari ya Kitanzania Hamisa.....

Pia Watanzania tumemuunga mkono Diamond mpaka amekuwa lulu lakini uzazi kahamishia kwa Mjukuu wa IDD Amin Dada..... Kwa hili Hamisa ni shujaa wetu kurudisha uzazi nyumbani Tanzania....... Na Sasa tumepata mrithi wa Mali za Diamnond ambaye ni Mtanzania halisi kabisa......
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa mujibu wa sheria za dini ya Kiislamu, watoto wote hao sio warithi wa mali za Nasib. La akitaka anaweza kuwapa zawadi kabla hajafa mwenyewe.

    Hapo mrithi halali wa Nasib ni wazee wake na kama nae amezaliwa nje ya ndoa basi baba Nasib nae hana urithi hapo. Mwenye mali zote hizo ni mama nasib na ndugu zake wa mama mmoja tu.

    Hivyo tushereheke ikiwa Nasib ataoa mtanzania na kuzaa nae basi tutasema mali hizo zitabaki tanzania.

    Ila haifai kusherehekea uzinifu unaoleta watoto ambao kimsingi tunawadhulumu.

    ReplyDelete
  2. Upo sawa mkuu jamii imeharibika saivi baada kuelimishana tunapotoshana saivi mtu akizaa nje ya ndoa watu wanafurahi sana zote ni dalili za kiyama utaona uzinifu nje nje na kurithisha watoto wasiofaa

    ReplyDelete
  3. Mmmmmh chuki tu binafsi. Huyu nani? Na yule nani

    ReplyDelete
  4. Wabongo bwana! katika vyote ukaona mali tu! nyie ndio mnasubiri mali za ndugu zenu mpokonye watoto! ana watoto watatu wote wana haki sawa whoever you are! weka ubinadamu mbele

    ReplyDelete

Top Post Ad