Madee Aamua Kuwajibu Radio na Weasel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Madee Aamua Kuwajibu Radio na Weasel
Msanii Madee ambaye ni meneja wa msanii Dogo Janja, amejibu tuhuma zilizotolewa na wasanii wa Uganda Weasel & Radio, kwamba hawajui collabo yao na Dogo Janja iliishia wapi, kwani baada ya kuifanya hakukuwa na mwasiliano yoyote.

Akizungumza na mwandishi wa habari wa East Africa Television, Madee amesema baada ya kuachia wimbo huo huku wakitarajia kufanya video yake, wasanii hao walikuwa wakimwambia wako busy sana, hivyo wakashindwa kufanya video hiyo mpaka sasa.
Madee aliendelea kusema kamba pamoja na hayo pia promo ambayo ilifanyika ilikuwa ni hapa hapa bongo, kutokana na kwamba wenzao walikuwa na ratiba za kubana sana hivyo haikuweza kufika kwa kiasi kubwa nchini Uganda, na kwengineko Afrika Mashariki.
Weasel & Radio walihojiwa kwenye kipindi cha The Cruise cha East Africa Radio wiki hii, na kusema hawajui collabo yao hiyo iliishia wapi, huku wakidai kuvunjika kwa mawasiliano kati yao na


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad