AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kwenye ukurasa wake wa instagram Sugu ameandika ujumbe akisema kwamba serikali iruhusu uchunguzi kutoka vyombo binafsi vya kimataifa, ili kuwatambua na kuthibitisha waliompiga risasi Tundu Lissu.
"Nami naunga mkono kuitaka serikali iruhusu uchunguzi wa kimataifa kutoka vyombo kama FBI au 'Scotland Yard' ili kuwatambua na kuwathibitisha waliohusika na kitendo hiki ili wawajibishwe kwa hili jaribio la mauaji lisilo na maana, na hao wasiojulikana sasa wajulikane", ameandika Sugu.
Pia kwenye ujumbe huo Sugu ameweka wazi kuwa alitakiwa kusafiri kwenda nchini China kikazi lakini amelazimika kusitisha safari hiyo kwa sababu ya matatizo ya Tundu Lissu.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Mbona Congress alipopigwa risasi USA hawakutaka Scotland Yard Kunchunguza. Jirani kenya Scotland mbona hawakutoa report ya kifo cha Ouko mpaka. Chadema acheni kutukana police.
ReplyDeleteUchunguzi wa Roma bado unaendelea funguka wewe
DeleteEti FBI, Kibiti wameuawa ndugu zetu wengi hamkuona shida.Acheni uzandiki.
ReplyDelete