Mtoto wa Mobetto Azidi Kumpasua Kichwa Zari Aamua Kumfungia Safari Hadi Bongo Kupata Ukweli

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mtoto wa Mobetto Azidi Kumpasua Kichwa Zari Aamua Kumfungia Safari  Hadi Bongo Kupata Ukweli
BAADA ya maneno mengi kusemwa Bongo kufuatia madai ya bwana’ke kuzaa na mwanamitindo mwenye jina kubwa, Hamisa Hassan Mobetto, mwanamama mjasiriamali mwenye jina kubwa Afrika Mashariki, Zarina Hassan Tiale ‘Zari The Boss Lady’ anadaiwa kuendelea kuliamsha dude baada ya kutinga Bongo na kuanza kudodosa ili kupata ukweli wa ishu hiyo.

Kwa mujibu wa chanzo chetu ambacho ni makini, awali Zari alitinga Bongo mapema wiki iliyopita na kupigwa chabo na ‘wadakuz’ akiwa nyumbani kwa jamaa huyo ambaye ni msanii wa Bongo Fleva huko Madale jijini Dar.

Ilidaiwa kwamba, hata hivyo, hakukaa sana kwani aliondoka kwenda kwenye kumbukumbu ya siku 40 za kifo cha mama yake, Halima Hassan nchini Uganda kabla ya kurejea Bongo wikiendi iliyopita.
“Kwa taarifa yenu Zari amejaa tele Bongo na lengo lake ni kuchimba na kupata ukweli juu ya madai ya Hamisa kuzaa na bwana’ke.

“Unajua akiwa Sauz hapati mtiririko mzuri wa kinachoendelea Bongo ndiyo maana ameona aje kuchimba mwenyewe ili ajue mbivu na mbichi na ajue nini cha kufanya,” kilidai chanzo hicho.
Kilizidi kutiririsha madai kwamba, endapo Zari atabaini ukweli kuhusu mzazi mwenzie huyo kuzaa na Hamisa, basi kuna uamuzi mzito atachukua.

Hata hivyo, gazeti hili lilizungumza na mmoja wa memba wa familia ya msanii huyo ambaye amezaa na Zari watoto wawili ambaye alithibitisha uwepo wa mwanamama huyo, lakini akaomba hifadhi ya jina.

“Wewe jua tu kwamba, yupo, amejaa tele. Kuhusu hayo mambo yake na Hamisa mimi sijui maana sijamsikia akilizungumzia. So labda anafanya kimyakimya,” alisema memba huyo wa familia.

Kwa upande wake Hamisa, habari zilizolifikia Ijumaa Wikienda katika dakika za lala salama kuelekea kiwandani zilidokeza kuwa, mrembo huyo kwa sasa ameamua kumuhudumia mwanaye mwenyewe na kwamba, maandalizi ya shughuli ya 40 ya kumtoa mtoto wake huyo yamepamba moto.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. atulize papa. kwani kaolewa? Hamisa anahudumiwa vizuri na Dai na washapatana wanamfanya zumbukuku na kungonga kisogo bi kizee.

    ReplyDelete
  2. kashanganyikiwa Zari, kasahau mpaka watoto wake kwa mboo ya Dai. akiondoka mahaba yanarudi kwa Hamisa. ulie tuu hamna cha peke yako Ajuza. hata Mama dai kamnyanganya mwezie.

    ReplyDelete
  3. sasa kwani huyo diamond umemnunua jamani mbn unatuchekesha kama alivo zaa na wewe ajuza na kazaa na hamisa si ni mapenzi yake mwenyewe kaamua. kuwa haikuwa mwanamke yuko kwenye ndoa kabisa na mume akzaa nje itakuwa wewe bi ajuza hamisa chuma bwana hakuweza ku resist so usipoteze time yako rudi kwako ukalee watt wako wee si una binti mkubwa kabisa unedanganya watu ni mdogo wako unadanganywa kuvushwa oete kufunga ndoa kina brad pit walikuwa hivo hivobna mwisho ndo puuh so usiji danganye kabisa akiwa na wewe ni wako na akiwa nje wa kila mtu

    ReplyDelete
  4. hivi kuna anayejua huyo Mobeto anawanaume wangapi mpaka mfosi Platz ndo alozaa naye??Ukiona mwanaume rijali anakataa mtoto ujue kuna jambo hapo na ndo mana hyo bitch hawezi declare mtoto ni wa nani......wapo msururu hapo sema kamlenga mwenye hela ili amlelee mtoto........aende ustawi wa jamii wambane Platz alee mwanaye tuone......anajua kitakachofata ni dna test tu hataimudu shenzi zake akafie mbali..............

    ReplyDelete
  5. ulisikia Hamisa kakataa DNA? mbona alishakwenda polisi Domo alivyomtumia msg ya kumtishia maisha. uliza kwanza,labda hujui mapenzi yao Domo kaomba msamaha na anamlea mwanae, ila wanafana siri Zari asijue maana kawekeza wcb. na hatomuoa bi kizee yule ni zaidi ya bitch...

    ReplyDelete

Top Post Ad