Niki wa Pili Afunguka Juu ya Maisha Aliyopitia

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Niki wa Pili Afunguka Juu ya Maisha Aliyopitia
Msanii Nikki wa Pili amesema maisha ambayo ameyapitia akiwa bado mdogo, ndio sababu inayomfanya azidi kufanya makubwa kwenye maisha yake.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Nikki wa Pili amesema alipitia changamoto nyingi ikiwemo kuuza sambusa kwenye vilabu vya pombe akiwa na baba yake, akiwa na umri mdogo kabisa.
“Nilikuwa nauza sambusa kwenye vilabu vya gongo na baba, kila siku nilikuwa nazunguka na sambusa zangu, nimefanya hivyo tangu nipo darasa la 3 mpaka namaliza la 7, lakini ndio hustle zilizotufanya tufanye makubwa zaidi”, amesema Niki wa Pili.
Niki wa pili ambaye hivi karibuni ameachia wimbo wake mpya wa Kihasara, ni miongoni mwa wasanii wachache sana hapa bongo ambao wana elimu na upeo mkubwa wa kufikiri mambo, licha ya maisha duni aliyopitia.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad