Shamsa Ford Ampa Makavu Mobetto Kuchepuka na Mume wa Zari

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shamsa Ford Ampa Makavu Mobetto Kuchepuka na Mume wa Zari
Wakati sakata la Hamisa Mobeto kuzaa na mzazi mwenziye Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’, likiwa bado bichi na watu wakiendelea kumuweka kikaangoni kwenye mitandao ya kijamii, Queen wa Bongo Muvi, Shamsa Ford, ameandika ujumbe ambao mashabiki wanadai ni kijembe kwa Mobeto.

Baada ya post hiyo, mashabiki wa Hamisa walimjia juu Shamsa na kumshushia kichambo wakimtaka aachane na ishu za mwanamitindo huyo, badala yake apambane na hali yake.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. JAMANI KWANI DIAMOND ANA NDOA YOYOYE INAYOTAMBULIKA IWE KANISANI,MSIKITINI AU SERIKALINI?
    BADO KARATA INACHEZWA HAPO MPAKA DAKIKA HII HAMNA MKE HALALI HAPO.

    ReplyDelete
  2. kwanza wewe shamsa unaingilia mamabo yasio kuhusu ivo ulikuwa unajua daimond alikuwa na nani? huyuzari alimpata vp daimond? Daimond si alikuwa na Wema mbn kipindi kile huku ongea kitu sasa imekuwa nongwa hamisa kuwa na daimond na kuzaa na na isitoshe kwani daimo d kamuowa huyo zari ni mke wake wa ndoa? si ana zaa nae tu so kosa gani ka hamisa hata mapovu yawatoke kundu zima kwa mtu mmoja hebu wacheni zenu you cant judge people just like that my dear shamsa think before hee mbm mume yavalia njuga mambobya wenzenu ayaonje na yeye yamemfika hee KARMA hio alimchoma mwenzake amezee sasa time yake na bado KARMA YA IVAN itamfika

    ReplyDelete
  3. Shamsa angalia yako na huyo mume jina.. achana na Hamisa humpati hata ukiwanga uchi. kwani huyo bi kizee Zari kaolewa au ndo kujipendekeza tuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad