Shoro Mwamba Afunguka Dogo Janja Alivyomuharibia Kwenye Menejimenti Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Shoro Mwamba Afunguka Dogo Janja Alivyomuharibia Kwenye Menejimenti Yake
MWAMBA wa Muziki wa Singeli, ‘Sholo Mwamba’ amedai kuwa, msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Dogo Janja ndiye aliyemharibia na kumfanya kujitoa katika menejimenti yake ya zamani baada ya kubaini kuwa na uhusiano na bosi wake.
Akipiga stori Over Ze Weekend, Sholo Mwamba anayekimbiza na ngoma kibao ikiwemo Geto alisema, ukiachilia mbali matatizo mengine ya kimaslahi na maendeleo ya muziki wake, moja ya mambo yaliyomfanya ajitoe kwenye menejimenti hiyo ni kitendo cha bosi wake kujihusisha kimapenzi na Dogo Janja.

“Ukweli ni kwamba penzi la aliyekuwa bosi wangu na Dogo Janja ni moja ya sababu ya mie kujiengua kwenye menejiment, uhusiano wao wa kimapenzi umekuwa ukinichefua vibaya na kufanya muziki wangu kuzorota, maisha yangu hayaeleweki kifupi ni kama dogo ameniharibia,” alisema Sholo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad