Video Vixen Wanaoingia Kwenye Muziki Wanatakiwa Kupambana na Hali Zao- Dayna Nyange

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 Kwenye Muziki  Wanatakiwa Kupambana na Hali Zao- Dayna Nyange
Msanii wa Bongo Flava, Dayna Nyange amezunguzia kitendo cha baadhi ya video vixen kuingia katika muziki huo.

Dayna ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Chovya’ amesema wanachotakiwa kufanya ni kupigania kile wanachoamini katika muziki ila yeye huwezi kusema ni vibaya kufanya hivyo.

“Kila mmoja ana hali yake acha wapambane ana hali zao lakini hutakiwi kusema fulani hatakiwi kuingia, muziki hauna mwenyewe, so karibuni mabishosti endeleeni kupambana na hali zenu tupate matonge halafu tuchovye maisha yaendelee,” Dayna ameiambia .

Video vixen wa Bongo ambao wameingia katika muziki ni pamoja na Gigy Money na Amber Lulu kitu ambacho kiliwahi kukosolewa vikali na msanii Baby Madaha

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad