Wazazi Waja Juu Wataka Uchunguzi Miili Iliyookolewa Katika Shimo la Choo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wazazi Waja Juu Wataka Uchunguzi Miili Iliyookolewa Katika Shimo la Choo
Miili ya watoto hao iliopolewa jana jioni kwenye nyumba ambayo ujenzi wake haujakamilika ikiwa  Wazazi wa watoto Moureen David (6) na Ikram Salim (3), wakazi wa Kata ya Olasiti, Arusha waliotekwa katika siku tofauti na kubainika kuwa wamekufa wameelekeza polisi kujua utaratibu wa uchunguzi wa miili.

David Njau, baba wa Moureen aliyekuwa mwanafunzi wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Lucky Vincent na Salum Kassim, baba wa Ikram wanafuatilia uchunguzi wa miili ya watoto wao iliyoopolewa kwenye shimo la choo jana Septemba 5 usiku katika eneo la Mji Mpya, Mtaa wa Olkerian.

Wakati Moureen alitekwa Agosti 21 saa kumi na moja jioni, Ikram alitekwa Agosti 26, saa 12 jioni.

Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkerian, David Safari ambaye yupo pamoja na familia hizo, amesema wanakwenda kuwaomba polisi wawapatie miili kwa ajili ya maziko.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo anatarajiwa kutoa tamko baadaye kuhusu tukio hilo.

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad